35,99 €
inkl. MwSt.
Versandkostenfrei*
Versandfertig in über 4 Wochen
payback
18 °P sammeln
  • Gebundenes Buch

Hakuna mtu anayejua maisha ya Kristo anahitaji uanzisho wowote kwa Petro - Petro, aliyejaa matumaini na waraka huu inaelezea tabia yake. Neno ka huhimu ni matumaini (1 Petro 1: 3). Tukio la waraka ni kesi iliyotarajiwa; hivyo kutiwa faraja ilikuwa muhimu. Lakini Uhimizo mkuu ulitoka kubadilika kwa Petro mwenyewe. Katika Injili, Petro alimwona Bwana wake akiwa amebadili sura: na pia tunamwona Petro pia akiwa amebadilika kwa neema isiyo na mipaka ya Mungu.Neno muhimu ni "kuteseka" ambalo limetajwa mara ishirini na moja katika kitabu hiki kifupi, na katika kila sura mateso ya Kristo yanatajwa.…mehr

Produktbeschreibung
Hakuna mtu anayejua maisha ya Kristo anahitaji uanzisho wowote kwa Petro - Petro, aliyejaa matumaini na waraka huu inaelezea tabia yake. Neno ka huhimu ni matumaini (1 Petro 1: 3). Tukio la waraka ni kesi iliyotarajiwa; hivyo kutiwa faraja ilikuwa muhimu. Lakini Uhimizo mkuu ulitoka kubadilika kwa Petro mwenyewe. Katika Injili, Petro alimwona Bwana wake akiwa amebadili sura: na pia tunamwona Petro pia akiwa amebadilika kwa neema isiyo na mipaka ya Mungu.Neno muhimu ni "kuteseka" ambalo limetajwa mara ishirini na moja katika kitabu hiki kifupi, na katika kila sura mateso ya Kristo yanatajwa. Lakini maono ya Petro yanatuwezesha kutazama zaidi ya majaribu kwa utukufu utakao funuliwa hatimaye (1 Petro 1: 7).
Autorenporträt
Carl Hinton was baptized into the Christadelphian faith in 1983 at just the age of 15. He has worked in the missionary fields of Tanzania for over 30 years; at one point spending an entire year traveling around from one group of believers to the next. He was able to build and equip an orphanage in the Sumbawanga region. Besides working in Africa, he acts as regional lead for the Christadelphian Bible Mission in Slovenia. He has authored and published 18 books, 14 of which have been translated into Kiswahili. Many articles written by him are found on the popular religious website and blog https://www.christadelphian.or.tz/ where he acts as editor.