11,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in 1-2 Wochen
payback
6 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

Nabii Wa Moto Na Watu Waliogeuka Kuni Nabii wa moto, hivyo ndivyo Yeremia alivyokuwa. Ujumbe wake ulichoma wale waliomsikia akisema. Hakuna mtu anayependa kuchomwa moto. Kwa sababu hiyo, wasikilizaji wake walitaka kumuua. Wakamtupa gerezani. Hakuwa na marafiki wengi. Hakuwahi kuoa na hakuwa na watoto wa kuendeleza jina lake. Kwa miaka arobaini, hata hivyo, alitangaza neno la Bwana kwa uaminifu kwa watu ambao waligeuza migongo yao na kuziba masikio yao. Yeye ni mfano wa ibada ya kweli na uvumilivu. Utafiti huu unachunguza matukio muhimu na jumbe za mtu huyu mkuu wa Mungu.

Produktbeschreibung

Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Autorenporträt
F. Wayne Mac Leod alizaliwa Sydney Mines, Nova Scotia, Canada na alikasoma Ontario Bible College, Chuo kikuu cha Waterloo na Ontario Theological Seminary. Aliwekewa mikono katika kanisa la Baptist Hespeler huko Cambridge,Ontario Mwaka 1991. Yeye na Mke wake Diana walitumika kama Wamishenari na shirika lililoitwa Africa Evangelical Fellowship katika Visiwa vya Mauritania na Reunion katika bahari ya hindi tangu mwaka 1985 - 1993 ambapo Wayne alikuwa anafanyakazi ya Maendeleo ya kanisa na kufundisha Viongozi. Kwa sasa anafanya huduma ya uandishi wa Vitabu na ni Mwanachana wa Action International Ministries.