18,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in über 4 Wochen
  • Broschiertes Buch

Abida Avuka Barabara ni kimoja cha vitabu vya hadithi katika msururu wa Little Birds ECDE ambayo vimeandikwa kuwapa watoto maarifa na mbinu za kimaisha na hasa njia na hatua salama za kuvuka barabara. Pia michezo iliyo salama. Lengo la msururu huu ni kuhimiza usomaji miongoni mwa watoto. Msamiati uliotumiwa kuandika hadithi hizi ni rahisi na wa kawaida. Picha na michoro maridadi na ya kupendeza imetumiwa ambayo inaifanya hadithi iwe ya kupendeza na kufurahisha. Hii itasaidia kuwachochea watoto kujadili yaliyomo wanaposoma.

Produktbeschreibung