Wakati Israeli ilipoamini neno la Mungu na kuenenda kulingana na mapenzi yake katika utiifu, ilifurahia utukufu na heshima kuu juu ya mataifa yote. Hata hivyo, wakati ilipoenda mbali na Mungu na kukosa kumtii, Israeli iliwekwa katika mateso aina nyingi, yakijumuisha uvamizi wa mataifa ya kigeni, na watu wake kulazimishwa kuishi kama watu wasiokuwa na kwao katika kila pembe za dunia.Hata wakati Israeli ilipokabiliwa na mambo magumu kwa sababu ya dhambi zao, hata hivyo, Mungu hajawahi kuwaacha au kuwasahau. Siku zote Israeli ilifungwa kwa Mungu kupitia kwa agano lake na Abrahamu na Mungu hakukoma kuwafanyia mambo.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.