16,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in über 4 Wochen
  • Broschiertes Buch

Wahusika wachanga wa hadithi hii wameambiwa na familia zao kwamba kutoka sasa watu wote watahitaji kuvaa barakoa za kinga na watahitaji kukaa mbali mmoja kwa mwingine. Wakiwa na barakoa mpya kwenye nyuso zao, hawo vijana wanaamua kwenda kwenye duka la aiskrimu na wazazi wao. Wanaona ni mzaha watu wazima mitaani wakivalia kofia za ajabu kama ukumbusho wa hizo sheria mpya. Kwa hali yoyote, ile utumizi wa barakoa na kutotangamana na watu haziwafadhaishi, na furaha yao inazidi wanapoonana kwenye foleni ya duka la aiskrimu. Wakati kila mmoja wao ameingia dukani kwa zamu yake na amenunua aiskrimu, wote wanarudi nyumbani kufurahia peremende zao.…mehr

Produktbeschreibung
Wahusika wachanga wa hadithi hii wameambiwa na familia zao kwamba kutoka sasa watu wote watahitaji kuvaa barakoa za kinga na watahitaji kukaa mbali mmoja kwa mwingine. Wakiwa na barakoa mpya kwenye nyuso zao, hawo vijana wanaamua kwenda kwenye duka la aiskrimu na wazazi wao. Wanaona ni mzaha watu wazima mitaani wakivalia kofia za ajabu kama ukumbusho wa hizo sheria mpya. Kwa hali yoyote, ile utumizi wa barakoa na kutotangamana na watu haziwafadhaishi, na furaha yao inazidi wanapoonana kwenye foleni ya duka la aiskrimu. Wakati kila mmoja wao ameingia dukani kwa zamu yake na amenunua aiskrimu, wote wanarudi nyumbani kufurahia peremende zao.
Autorenporträt
Deana Sobel Lederman is an author-illustrator and cartoonist. Her children's series Rainbows, Masks and Ice Cream was published by TBR Books in 2020 and translated to 14 languages. She has worked with the Morgan Library & Museum as an illustrator for marketing and retail, and with many other large institutions.