Barua Ndefu Kama Hii
Mariama Ba
Broschiertes Buch

Barua Ndefu Kama Hii

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
20,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
10 °P sammeln!
Ramatoulaye, mwanamke Msenegali ameolewa na Mody, mtu mzito serikalini. Baada ya miaka mingi ya ndoa Modu anaoa mke mwingine, msichana mdogo mwenye umri sawa na wa binti yake. Ramatolaye anasahauliwa; pesa na mapenzi vinahamia kwa mke mdogo. Modu anakufa katika ajali ya gari. Nani atakayerithi mali za marehemu? Halafu kuna umati uliokuja kwenye kilio ambao "lazima ulishwe na upewe pesa kwa heshima ya marehemu". Mariana Ba, mwandishi wa riwaya hii, alikuwa wa kwanza kupewa tuzo ya Noma mwaka 1980. Riwaya hii imetafsiriwa katika lugha kumi na nane na umaarufu wake unazidi kukua. Originally publi...