Hatua hii ya pili imegawanyika katika sehemu tano. Maelezo haya ni sehemu ya kwanza katika mfululizo huu wa sehemu hizo tano za masomo yanayohusu Habari za Jumla za "Utukufu na Kuanguka kwa Ufalme wa Israeli." Masomo yamechaguliwa ili kwamba tuweze kujifunza kweli ambayo Yesu alifundisha ili kwamba tupate kuwa na hamu ya kupata zaidi ukweli kuhusu Ufalme wa Mungu na jinsi hatimaye tunavyoweza kupata nafasi ndani ya Ufalme ule.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.