18,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in 1-2 Wochen
payback
9 °P sammeln
Produktdetails
  • Verlag: Lulu.com
  • Seitenzahl: 164
  • Erscheinungstermin: 15. November 2024
  • Swahili
  • Abmessung: 210mm x 148mm x 9mm
  • Gewicht: 221g
  • ISBN-13: 9781326832292
  • ISBN-10: 1326832298
  • Artikelnr.: 72323718

Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
  • Herstellerkennzeichnung
  • Books on Demand GmbH
  • In de Tarpen 42
  • 22848 Norderstedt
  • info@bod.de
  • 040 53433511
Autorenporträt
Jane D. Mwanizuwa Sabini (Jane Davis).Ni mwandishi chipukizi wa simulizi riwaya na tungo za kishairi. Alizaliwa tarehe 20 Januari mnamo mwaka 1995 huko wilaya ya Uyui mkoani Tabora. Alipata elimu ya msingi Igoko shule ya msingi na elimu ya upili Kazehill sekondari. Baada ya kupata ulemavu wa miguu na masikio akiwa kidato cha pili alihamia Kazima sekondari ambako alisoma hadi kidato cha nne. Baada ya kuhitimu sekondari alijiunga na chuo kiitwacho Tabora Network Training college. Hapo alichukua kozi ya Ualimu wa awali ambapo alihitimu kwa ufaulu mzuri lakini hakufanikiwa kupata ajira. Mwaka 2017 alianza rasmi uandishi wa simulizi riwaya na mashairi. Mwandishi huyu ni shujaa wa kupinga unyanyasaji wa kijinsia. Anatumia simulizi riwaya na tungo za kishairi kuelimisha na kuonya ukatili kwa wanawake, watu wenye ulemavu na ndoa za utotoni.