8,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in 1-2 Wochen
payback
4 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

Katika kipindi ambacho tunaangalia mipango mipya na mbinu ya kudumisha masilahi na kusababisha makanisa yetu yakue, ni rahisi kukosa urahisi wa kile Mungu anawaambia watu wake katika vifungu hivi. Afya ya makanisa yetu na uzima wa kiroho hautegemei juu ya mbinu na mipango mipya, lakini katika kuangalia nyuma kwenye mafundisho rahisi ya neno la Mungu. 2 Nyakati 7:13-14 ni funguo katika afya ya kiroho na kuzaa matunda. Katika vifungu hivi vimeegemea katika majibu ya Mungu kwa maombi ya Sulemani kwa msamaha na kufanya upya baraka kwa watu wake. Katika jibu la maombi ya Sulemani, Mungu…mehr

Produktbeschreibung
Katika kipindi ambacho tunaangalia mipango mipya na mbinu ya kudumisha masilahi na kusababisha makanisa yetu yakue, ni rahisi kukosa urahisi wa kile Mungu anawaambia watu wake katika vifungu hivi. Afya ya makanisa yetu na uzima wa kiroho hautegemei juu ya mbinu na mipango mipya, lakini katika kuangalia nyuma kwenye mafundisho rahisi ya neno la Mungu. 2 Nyakati 7:13-14 ni funguo katika afya ya kiroho na kuzaa matunda. Katika vifungu hivi vimeegemea katika majibu ya Mungu kwa maombi ya Sulemani kwa msamaha na kufanya upya baraka kwa watu wake. Katika jibu la maombi ya Sulemani, Mungu alishirikisha mahitaji yake kwa huo msamaha na uponyaji uchukue nafasi. Kusudi la Mungu halikubadilika. Ikiwa unataka kufahamu nini Mungu anahitaji kwa burudisho na kufanywa upya katika maisha yako ya kiroho, hivi vifungu viwili ni ufunguo.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Autorenporträt
F. Wayne Mac Leod alizaliwa Sydney Mines, Nova Scotia, Canada na alikasoma Ontario Bible College, Chuo kikuu cha Waterloo na Ontario Theological Seminary. Aliwekewa mikono katika kanisa la Baptist Hespeler huko Cambridge,Ontario Mwaka 1991. Yeye na Mke wake Diana walitumika kama Wamishenari na shirika lililoitwa Africa Evangelical Fellowship katika Visiwa vya Mauritania na Reunion katika bahari ya hindi tangu mwaka 1985 - 1993 ambapo Wayne alikuwa anafanyakazi ya Maendeleo ya kanisa na kufundisha Viongozi. Kwa sasa anafanya huduma ya uandishi wa Vitabu na ni Mwanachana wa Action International Ministries.