If Your Brother Sins - Swahili Edition
F. Wayne Mac Leod
Broschiertes Buch

If Your Brother Sins - Swahili Edition

Uchunguzi Wa Kitabu Cha Mathayo 18:15-17

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
7,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
4 °P sammeln!
Hatupaswi kuyatelekeza matatizo kati ya waumini kama tunavyofanya kwa watoto wetu ndani ya familia zetu. Mara kwa mara hatutakubali kuona jinsi mambo yatakavyoendeshwa. Wakati mwingine tunatenda kwa hasira na kiburi. Haiba zetu hugongana. Watu huumizwa.Maandiko yamejaa mifano mingi ya migogoro kati ya waumini. Bwana Mungu alijua kwamba jambo hili litaendelea kutokea, hivyo akatoa maelekezo ya jinsi gani tunaweza kulishughulikia jambo kama hili. Kwa upendeleo wa pekee hapa Yesu anatufundisha katika Mathayo 18:15-17. Katika kifungu hiki Yesu anatufundisha jinsi ya kuyashughulikia matatizo yanapo...