Je, Yesu Kristo ndie Isa Bin Maryam?
Maxwell Shimba
Broschiertes Buch

Je, Yesu Kristo ndie Isa Bin Maryam?

Versandkostenfrei!
Versandfertig in über 4 Wochen
13,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
7 °P sammeln!
Je, Yesu Kristo Ndie Isa Bin Maryam? Katika kitabu chake cha "Yesu Sio Isa Bin Maryam," Dr. Maxwell Shimba anatoa uchambuzi wa kina wa kiitikadi na kihistoria ili kubainisha tofauti za msingi kati ya Yesu Kristo wa Biblia na Isa bin Maryam wa Qurani. Mwandishi anatumia maandiko ya Biblia kama Yohana 1:1-14, Mathayo 1:18-25, na Luka 1:26-38 kuonyesha kwamba Yesu Kristo ni Neno la Mungu aliyefanyika mwili, tofauti kabisa na Isa ambaye Qurani inamtambulisha kama nabii wa kawaida aliyekuja kwa Wana wa Israeli pekee. Kwa mujibu wa Dr. Shimba, Biblia inamtambulisha Yesu kama Mwokozi wa ulimwengu mzi...