Jealous Anansi - Anansi Mwenye Wivu
Ghanaian Folktale
Broschiertes Buch

Jealous Anansi - Anansi Mwenye Wivu

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
14,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
7 °P sammeln!
Anansi doesn't want to ever share a meal with Turtle, so he tries to find a way to make sure he eats, but Turtle doesn't! Licha ya Sungura kushiriki ardhi yake, Anansi anaichukua kutoka kwake. Huenda sokoni kuuza matunda na mboga zinazokuzwa kwenye shamba lililochukuliwa kutoka kwa Sungura, ambapo Anansi anapata pesa nyingi. Huipeleka nyumbani kwenye kikapu kilichofichwa chini ya mahindi, lakini mvua inaanza kunyesha! Huweka kikapu chake kandokando ya barabara, ambapo kinapatikana na Tai. Tai anadai kikapu ni chake kwa sababu alikipata na Chifu na Wazee wanakubaliana na Tai. Sungura anacheka k...