Anna Samwel
Gebundenes Buch

Kakofia Keusi

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
20,99 €
inkl. MwSt.
Weitere Ausgaben:
PAYBACK Punkte
0 °P sammeln!
KAKOFIA KEUSI

Kakofia Keusi ni mtoto anayeishi barani Afrika.

Siku moja, alitumwa na mama yake kwenda kijiji cha jirani kuwapeleka chakula bibi na babu yake, kwa sababu walikuwa wagonjwa.

Kakofia Keusi alimkubalia mama yake na kuondoka.
Alipita njia ya mkato ya mwituni ili afike upesi.

Je, Kakofia Keusi atafanikiwa kufika kwa bibi na babu yake salama?

Safiri naye ili ujionee mwenyewe jinsi anavyoupita mwitu huo.