12,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in über 4 Wochen
payback
6 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

Maria anafurahia mwalimu anapoingia darasani. Ghafla, furaha hii inapotea na anakuwa mwenye huzuni. Anaanza kulia, machozi yanamtoka. Maria haioni kalamu yake. Kalamu ya Maria i wapi? Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi si tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

Produktbeschreibung