Kulingana na moyo wa Mungu na mafundisho ya Neno, Kiasi cha Imani kinaeleza viwango vitano vya imani na ufalme wa mbinguni, na humsaidia msomaji apime kiwango cha imani yake mwenyewe. Kiasi cha imani na makao katika ufalme wa mbinguni vinaweza kugawanywa katika viwango vitano, lakini kazi hii inavifafanua viwango vitano kuwasaidia wasomaji waelewe kwa urahisi zaidi. Ninatumaini kwamba unaweza kuendelea kwenda mbinguni kwa nguvu zaidi kwa kulinganisha kiasi cha imani yako na kile cha mababu wa imani katika Biblia.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.