Nicht lieferbar
King'ora cha Mwehu - Abdulla, Ali
Schade – dieser Artikel ist leider ausverkauft. Sobald wir wissen, ob und wann der Artikel wieder verfügbar ist, informieren wir Sie an dieser Stelle.
  • Broschiertes Buch

King'ora cha Mwehu ni tamthilia inayoangazia matatizo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii yanayotokana na utawala mbaya wa viongozi wa nchi ya Sifuri. Viongozi hawa hawana chochote wala lolote la kuwafaidi wananchi au nchi zao. Kinachowaongoza ni ulafi na kupapia kila kinachopatikana nchini na kudai wana haki ya kusherehekea utamu wa Keki ya Taifa.Wanafanya hivi huku wananchi wakiendelea kuumia, kuteseka na kudhalilishwa na umaskini, njaa, ukosefu wa ajira miongoni mwa matatizo mengi yaliyokuwapo tangu enzi za kupigania uhuru. Lakini wananchi hawana njia ya kujinasua. Kila anayesema ng'we, anapata…mehr

Produktbeschreibung
King'ora cha Mwehu ni tamthilia inayoangazia matatizo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii yanayotokana na utawala mbaya wa viongozi wa nchi ya Sifuri. Viongozi hawa hawana chochote wala lolote la kuwafaidi wananchi au nchi zao. Kinachowaongoza ni ulafi na kupapia kila kinachopatikana nchini na kudai wana haki ya kusherehekea utamu wa Keki ya Taifa.Wanafanya hivi huku wananchi wakiendelea kuumia, kuteseka na kudhalilishwa na umaskini, njaa, ukosefu wa ajira miongoni mwa matatizo mengi yaliyokuwapo tangu enzi za kupigania uhuru. Lakini wananchi hawana njia ya kujinasua. Kila anayesema ng'we, anapata cha mtema kuni. Mwehu anapoliza king'ora chake, wengi wanampuuza na kudhani ni mwehu tu, lakini hoja zake zinapelekea kuzinduka kwa umma. Bi Kurwa na Mlevi wanajiunga na Mwehu, na hatimaye chachu ya mabadiliko inakolea. Kumbe jamii inaweza kubadilishwa na mwehu! Je, mwamko huu utazua kitu gani? Hii ni tamthilia ya kimapinduzi. Ni kurunzi ya jamii.