Mukhtasari wa Kitabu: Kitabu hiki chaeleza umuhimu wa kufanya wema, na maelekeo ya tama na umuhimu wa familia. Kinafundisha maandishi haya yaliokuwa kitabuni.... Kuchukuwa sifa ya kazi ya mwengine ni dhambi, Kudanganya na kunyakuwa vitu vya wengine ni dhambi, Kunywa tembo ya mnazi peke yake ukikuzubaa siku nzima ni dhambi
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.