Kataa kuwa kundi la wanawake waliokata tamaa na wanaoona mafanikio ni ya watu wengine tu. Wajue maadui 10 wanaozuia mafanikio yako na jinsi ya kuwashinda maadui hawa ili uweze fanikiwa zaidi.Tambua thamani yako,nguvu zilizojificha ndani yako na maadui kumi unaotakiwa kuwashinda ili uweze fika mbali zaidi. Kila la heri na mafanikio mema. Petrida E.Karch
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.