Mahali fulani mashariki ya kati, sanduku la dhahabu la maajabu lilifichwa kutoka kwenye macho ya binadamu kwa maelfu ya miaka. Hakuna anayejua sehemu lilipo, lakini wengi walilitafuta, wakitumai kuwa mmoja wa watakaotatua siri: "Liko wapi sanduku la agano?" Hadithi ya safina ilianza, sio wakati inatengezwa chini ya maelekezo ya Musa kwenye jangwa, lakini mbinguni, katikati ya vita kati ya shetani na Mungu. Matunda ya vita ilikuwa ni dunia iliyoanguka, majibu ya wokovu wetu ni sehemu ya sababu safina kutengenezwa. Yaliyomo ndani ya sanduku la agano ni kitovu cha maisha yaliyojazwa kwa neema ya Kristo. Siku moja, wakati Yesu atakapokuja tena na kuonyesha sehemu iliyofichwa safina, maajabu ya muda mrefu yatatatuliwa. Lakini, kwa wakati huu, hapa kwenye hadithi ya safina ya dhahabu, na vitu vyake maalumu vilivyomo, na matokeo yake, sio tu kwa wale walioiona lakini kwa wale kati yetu watakaokuwepo humu duniani wakati wa mwisho.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.