20,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in 1-2 Wochen
payback
10 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

Dhana (wazo) la shule ya manabii kwa vyovyote vile siyo mpya, kwa kweli nabii Samweli alikuwa mtu wa kwanza kuanzisha shule hii. Kwa kuwa jamii ya wa Kristadelfia wanaamini na kutegemea kabisa Biblia yote kuwa ndiyo msingi, kwa hiyo haitashangaza sisi kufuata desturi hii. Kozi hii ina mafunzo ya mwalimu, imeanzishwa siyo iwe kama masharti ya kuendesha Ekklesia na taratibu za ibada , bali kozi hii inakuletea mfumo ambao ninyi wenyewe mtaweza kuamua njia iliyo bora ya kuendesha Ekklesia yenu. Mafundisho yaliyomo humu yamekusudiwa kwa ajili ya Ekklesia za Tanzania; hata hivyo kanuni ni kwa ajili…mehr

Produktbeschreibung
Dhana (wazo) la shule ya manabii kwa vyovyote vile siyo mpya, kwa kweli nabii Samweli alikuwa mtu wa kwanza kuanzisha shule hii. Kwa kuwa jamii ya wa Kristadelfia wanaamini na kutegemea kabisa Biblia yote kuwa ndiyo msingi, kwa hiyo haitashangaza sisi kufuata desturi hii. Kozi hii ina mafunzo ya mwalimu, imeanzishwa siyo iwe kama masharti ya kuendesha Ekklesia na taratibu za ibada , bali kozi hii inakuletea mfumo ambao ninyi wenyewe mtaweza kuamua njia iliyo bora ya kuendesha Ekklesia yenu. Mafundisho yaliyomo humu yamekusudiwa kwa ajili ya Ekklesia za Tanzania; hata hivyo kanuni ni kwa ajili ya watu wote na kwa sababu hiyo zinaweza kutumiwa na watu wote hata kama wana mila na utmaduni tofauti. Mwandishi Mwandishi amefanya kazi ya kuhubiri nchini Tanzania kwa miaka zaidi ya ishirini na kuna wakati aliishi mwaka mzima akifanya kazi ya kuhubiri akitembea mji hadi mji mwingine akihubiri na kufundisha jinsi ya kufundisha.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Autorenporträt
Carl Hinton was baptized into the Christadelphian faith in 1983 at just the age of 15. He has worked in the missionary fields of Tanzania for over 30 years; at one point spending an entire year traveling around from one group of believers to the next. He was able to build and equip an orphanage in the Sumbawanga region. Besides working in Africa, he acts as regional lead for the Christadelphian Bible Mission in Slovenia. He has authored and published 18 books, 14 of which have been translated into Kiswahili. Many articles written by him are found on the popular religious website and blog https://www.christadelphian.or.tz/ where he acts as editor.