10,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in über 4 Wochen
  • Broschiertes Buch

Maria na Kim ni kimoja cha vitabu vya hadithi katika msururu wa Little Birds ECDE ambacho kimeandikwa kuwasaidia watoto kujitambua na kuzitambua hali na mazingira yao. Yaliyomo ni pamoja na jina, jinsia, umri, jamaa, marafiki na majirani, mazingira ya nyumbani na shuleni. Lengo la msururu huu ni kuhimiza usomaji miongoni mwa watoto. Msamiati uliotumiwa kuandika hadithi hizi ni rahisi na wa kawaida. Picha na michoro maridadi na ya kupendeza imetumiwa ambayo inaifanya hadithi iwe ya kupendeza na kufurahisha. Hii itasaidia kuwachochea watoto kujadili yaliyomo wanaposoma.

Produktbeschreibung