24,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in 1-2 Wochen
  • Broschiertes Buch

Masomo haya ya Biblia kwa njia ya Posta, ambayo hapa yamechapishwa kuwa kitabu, yalianza yakiwa ni Kozi ya Masomo 40 ya Msingi ya Biblia, ya Jumuia ya Wakristadelfia duniani. Yakiwa yameandikwa mwanzoni kwa lugha ya Kingereza, yaliandaliwa ili yatoe ufahamu wa kutosha wa Maandiko kwa mtu, kabla hajataka kubatizwa. Baada ya kutumiwa kwa karibu miaka 25 katika Tanzania, imeonekana hayakutosha hasa katika kumwandaa muumini kwa ajili ya maisha mapya katika Kristo, katika upweke uliopo Afrika Mashariki, kwa hiyo masomo mengine 20 yaliongezwa kuwa 60. Jitihada ilifanyika ya kuyatafsiri masomo hayo…mehr

Produktbeschreibung
Masomo haya ya Biblia kwa njia ya Posta, ambayo hapa yamechapishwa kuwa kitabu, yalianza yakiwa ni Kozi ya Masomo 40 ya Msingi ya Biblia, ya Jumuia ya Wakristadelfia duniani. Yakiwa yameandikwa mwanzoni kwa lugha ya Kingereza, yaliandaliwa ili yatoe ufahamu wa kutosha wa Maandiko kwa mtu, kabla hajataka kubatizwa. Baada ya kutumiwa kwa karibu miaka 25 katika Tanzania, imeonekana hayakutosha hasa katika kumwandaa muumini kwa ajili ya maisha mapya katika Kristo, katika upweke uliopo Afrika Mashariki, kwa hiyo masomo mengine 20 yaliongezwa kuwa 60. Jitihada ilifanyika ya kuyatafsiri masomo hayo 40 ya awali katika Kiswahili, lakini kutokana na tofauti za kiutamaduni kwa waliotafsiri, mafanikio hayakuwa makubwa. Tunafikiri, kutokana na uhariri na nyongeza iliyowekwa, chapisho hili litakuwa la manufaa zaidi.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Autorenporträt
Carl Hinton was baptized into the Christadelphian faith in 1983 at just the age of 15. He has worked in the missionary fields of Tanzania for over 30 years; at one point spending an entire year traveling around from one group of believers to the next. He was able to build and equip an orphanage in the Sumbawanga region. Besides working in Africa, he acts as regional lead for the Christadelphian Bible Mission in Slovenia. He has authored and published 18 books, 14 of which have been translated into Kiswahili. Many articles written by him are found on the popular religious website and blog https://www.christadelphian.or.tz/ where he acts as editor.