12,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in über 4 Wochen
payback
6 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

Kwa upande mwingine, jehanamu imejaa uchungu usiokuwa na mwisho, na adhabu ya milele; uhalisia wake wa kutisha umeelezwa kwa kina katika kitabu kiitwacho Jehanamu. Mbinguni na jehanamu kulikuja kujulikana kupitia kwa Yesu na Mitume, na hata leo, sehemu hizo zimeonyeshwa kwa kina kupitia kwa watu wa Mungu walio na imani ya kweli kwake. Mbingu ni mahali ambapo wana wa Mungu hufurahia uzima wa milele, na mambo mazuri sana yasiyoweza kufikirika yameandaliwa kwa ajili yao. Kwa hiyo unaweza kuifahamu mbingu vizuri pale tu Mungu anaporuhusu na kukuonyesha.

Produktbeschreibung

Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.