25,99 €
inkl. MwSt.
Versandkostenfrei*
Versandfertig in über 4 Wochen
  • Broschiertes Buch

Katika Mhanga Nafsi Yangu tunachorewa dunia iliyoharibiwa mtu achote riziki yake. Kwa hivyo utabiri wa wahenga unathibitika na kukamilika. nchi na watu wake kwenda kuishi na kutafuta riziki yake Peponi. Anahajiri na kuishi Peponi kwa sababu kwao hakuna maisha Shangazi yake aliyemfanyia wema wa kumleta Peponi ndiye walizonazo wenyeji kuhusu wageni - hasa wageni weusi, yanaonekana ni mazingira ya ubaguzi na udhalilishaji! Hatimaye matumaini ya Peponi yanageuka kuwa balaa. Kwa hivyo viapo vya mapenzi vinasahauliwa, ahadi za kusaidia ukoo zinavunjwa, matumaini mema yanakatikakatika, uvumilivu…mehr

Produktbeschreibung
Katika Mhanga Nafsi Yangu tunachorewa dunia iliyoharibiwa mtu achote riziki yake. Kwa hivyo utabiri wa wahenga unathibitika na kukamilika. nchi na watu wake kwenda kuishi na kutafuta riziki yake Peponi. Anahajiri na kuishi Peponi kwa sababu kwao hakuna maisha Shangazi yake aliyemfanyia wema wa kumleta Peponi ndiye walizonazo wenyeji kuhusu wageni - hasa wageni weusi, yanaonekana ni mazingira ya ubaguzi na udhalilishaji! Hatimaye matumaini ya Peponi yanageuka kuwa balaa. Kwa hivyo viapo vya mapenzi vinasahauliwa, ahadi za kusaidia ukoo zinavunjwa, matumaini mema yanakatikakatika, uvumilivu haupo tena, anapotambua kwamba nafsi ya mtu huweza kutolewa mhanga kwa matarajio ambayo tokea mwanzo hayakuwa na msimamo.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.