10,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in über 4 Wochen
  • Broschiertes Buch

Mikono ya Gondi ni kimoja cha vitabu vya hadithi katika msururu wa Little Birds ECDE kinachoangazia hadithi za mbinu za kuishi. Kimetungwa ili kuwasaidia watoto kujifunza usafi. Yaliyomo ni pamoja na jinsi ya kutumia choo vyema, kunawa mikono unapotoka chooni na matumizi mema ya hanchifu. Lengo la msururu huu ni kuhimiza usomaji miongoni mwa watoto. Msamiati uliotumiwa kuandika hadithi hizi ni rahisi na wa kawaida. Picha na michoro maridadi na ya kupendeza imetumiwa ambayo inaifanya hadithi iwe ya kupendeza na kufurahisha. Hii itasaidia kuwachochea watoto kujadili yaliyomo wanaposoma.

Produktbeschreibung