18,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in über 4 Wochen
  • Broschiertes Buch

"Ningependa ufanye upelelezi wa uhalifu huu. Msake mhalifu mpaka umpate. Ninakuamini kwamba unaweza kumnasa mhalifu huyo kutokana na uhodari wako katika kazi hii. "Kwa bahati nzuri, mtu mmoja alinusurika kati ya hao waliokumbwa na mkasa huu. Risasi za jambazi zilimkosa na akajifanya amekufa." Tom... Alitega sikio na kumsikiliza mkuu wake wa kazi akiendelea: "Huyu bwana aliyenusurika ndiye aliyetoa taarifa ya ujambazi huo kituoni, na jina na anwani yake ni hivi..." Tom alioneshwa kikaratasi kilichokuwa na maandishi ya mkono yenye taarifa hii: Jina - Deo Pantaleo, Mtaa - Swahili, Namba ya nyumba - 85, Shauri - KJ/IL/66.…mehr

Produktbeschreibung
"Ningependa ufanye upelelezi wa uhalifu huu. Msake mhalifu mpaka umpate. Ninakuamini kwamba unaweza kumnasa mhalifu huyo kutokana na uhodari wako katika kazi hii. "Kwa bahati nzuri, mtu mmoja alinusurika kati ya hao waliokumbwa na mkasa huu. Risasi za jambazi zilimkosa na akajifanya amekufa." Tom... Alitega sikio na kumsikiliza mkuu wake wa kazi akiendelea: "Huyu bwana aliyenusurika ndiye aliyetoa taarifa ya ujambazi huo kituoni, na jina na anwani yake ni hivi..." Tom alioneshwa kikaratasi kilichokuwa na maandishi ya mkono yenye taarifa hii: Jina - Deo Pantaleo, Mtaa - Swahili, Namba ya nyumba - 85, Shauri - KJ/IL/66.