Nicht lieferbar
Mtambo wa Mauti
Ben R Mtobwa
Broschiertes Buch

Mtambo wa Mauti

Versandkostenfrei!
Nicht lieferbar
Mona Lisa, msichana mwenye sura ya malaika na umbo la malkia anafakiwa kuutikisa ujabali wa Joram Kiango hata akakubali kustarehe naye. Joram Kiango anajikuta katika mkasa mzito na wa kutisha, na ambao hajawahi kukutana nao maishani alipokurupuka usiku wa manane na kumkuta Mona Lisa akiwa maiti, tundu la risasi likivuja damu kifuani mwake. Mkasa unazidi kuwa mzito pale Mona Lisa, aliyekufa anapotokea, tena katika kila maficho ya Joram Kiango. Kila anapotokea maisha ya watu wengi wasiokuwa na hatia yanaangamia. Mona Lisa ni binadamu wa kweli? Ni jini au ni malaika? Ni miongoni mwa maswali ambay...