22,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in über 4 Wochen
  • Broschiertes Buch

Ken Walibora ni miongoni mwa waandishi arifu na maarufu zaidi wa fasihi ya Kiswahili waliowahi kuibuka katika Afrika Mashariki na ya Kati. Mbinu ya kalamu yake ina mvuto mkubwa na uzuri wa kisanaa wa aina yake. Ameziandika tanzu mbalimbali za fasihi kama vile riwaya, ushairi na tamthilia. Hata hivyo, Nasikia Sauti ya Mama ndiyo kazi yake ya kwanza inayostahili kuitwa tawasifu, tawasifu inayoangazia kipande kidogo halisi cha maisha yake mwenyewe na wala si ya wahusika wake ambao ni zao la ubunifu. Nasikia Sauti ya Mama ni tawasifu iliyosheheni mtindo wa usimulizi wenye uwazi, ujasiri na umbuji.…mehr

Produktbeschreibung
Ken Walibora ni miongoni mwa waandishi arifu na maarufu zaidi wa fasihi ya Kiswahili waliowahi kuibuka katika Afrika Mashariki na ya Kati. Mbinu ya kalamu yake ina mvuto mkubwa na uzuri wa kisanaa wa aina yake. Ameziandika tanzu mbalimbali za fasihi kama vile riwaya, ushairi na tamthilia. Hata hivyo, Nasikia Sauti ya Mama ndiyo kazi yake ya kwanza inayostahili kuitwa tawasifu, tawasifu inayoangazia kipande kidogo halisi cha maisha yake mwenyewe na wala si ya wahusika wake ambao ni zao la ubunifu. Nasikia Sauti ya Mama ni tawasifu iliyosheheni mtindo wa usimulizi wenye uwazi, ujasiri na umbuji. Uzuri wa kisanaa wa tawasifu hii unashadidia ukweli usiokanushika kwamba mwandishi huyu, aliyeibuka kwanza na riwaya ya Siku Njema, ataendelea kutamba kwa miaka na mikaka katika medani ya fasihi ya Kiswahili.