Ninaweza kuwa nani? Taaluma za STUH/STEM kutoka A-Z ni kitabu cha picha za kialfabeti cha kumotisha na rahisi kusoma kinachofundisha kizazi chetu kijacho kuhusu taaluma za Sayansi, Teknolojia, uhandisi na Hisabati.Kitabu hiki kinatoa vielelezo vyenye rangi vya watoto sita tofauti wanaowakilisha taaluma mbalimbali za STUH/STEM (kwa mfano, wanaanga, madaktari, wanasayansi,na wahandisi, na kadhalika), kuwasaidia watoto(miaka 5 hadi 8) kujiona katika mojawapo ya taaluma za STUH/STEM, na kuwapa motisha ya kuandaa maisha yao ya baadaye kupitia STUH/STEM! English Description: What Can I Be? STEM…mehr
Ninaweza kuwa nani? Taaluma za STUH/STEM kutoka A-Z ni kitabu cha picha za kialfabeti cha kumotisha na rahisi kusoma kinachofundisha kizazi chetu kijacho kuhusu taaluma za Sayansi, Teknolojia, uhandisi na Hisabati.Kitabu hiki kinatoa vielelezo vyenye rangi vya watoto sita tofauti wanaowakilisha taaluma mbalimbali za STUH/STEM (kwa mfano, wanaanga, madaktari, wanasayansi,na wahandisi, na kadhalika), kuwasaidia watoto(miaka 5 hadi 8) kujiona katika mojawapo ya taaluma za STUH/STEM, na kuwapa motisha ya kuandaa maisha yao ya baadaye kupitia STUH/STEM! English Description: What Can I Be? STEM Careers from A to Z is an inspiring and easy-to-read alphabet picture book that teaches our next generation about Science, Technology, Engineering, and Math (STEM) careers. This book provides colorful illustrations of six diverse children representing various STEM careers (i.e. astronauts, doctors, scientists, and engineers, etc), helping children (5 to 8 years old) see themselves in one of the STEM careers, and motivates them to shape their future through STEM!Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Tiffani Teachey is a Sr. Mechanical Engineer, STEM advocate, professional speaker, and bestselling author of the coloring & activity book and children's book What Can I Be? STEM Careers from A to Z. Available in Spanish and French. As an engineer with more than sixteen years of experience, Tiffani has a passion for inspiring the next generation to engage in Science, Technology, Engineering, and Math (STEM) careers. She was born and raised in Winston-Salem, North Carolina, enjoys traveling and being a youth mentor. For more about Tiffani, visit her website at www.tiffaniteachey.com, follow her on Instagram and Twitter @tiffaniteachey, or like "Author Tiffani Teachey" on Facebook.
Es gelten unsere Allgemeinen Geschäftsbedingungen: www.buecher.de/agb
Impressum
www.buecher.de ist ein Internetauftritt der buecher.de internetstores GmbH
Geschäftsführung: Monica Sawhney | Roland Kölbl | Günter Hilger
Sitz der Gesellschaft: Batheyer Straße 115 - 117, 58099 Hagen
Postanschrift: Bürgermeister-Wegele-Str. 12, 86167 Augsburg
Amtsgericht Hagen HRB 13257
Steuernummer: 321/5800/1497
USt-IdNr: DE450055826