16,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in 1-2 Wochen
  • Broschiertes Buch

Kama siku yoyote nyingine, Noah Henry anajitayarisha kwenda shuleni-lakini, wazazi wake wanamwambia kwamba shule yake imefungwa. Zaidi ya hilo, bustani ya wanyama pia imefungwa na hataweza kucheza na rafiki zake wanaoishi mle. Mambo hayabadiliki hata wakati Noah na kaka yake mdogo wananawisha mikono yao kama walivyoambiwa na walimu wao. Lakini, wakati Noah na familia yake wanapoondoka kwenda matembezini, anagundua ya kwamba rafiki zake walikuwa wamechora pinde za mvua na kuziweka kwenye madirisha yao, na anatambua ya kwamba rafiki zake pia hawana hakika kuhusu siku zijazo, na ya kwamba siku moja yeye na rafiki zake watacheza pamoja tena.…mehr

Produktbeschreibung
Kama siku yoyote nyingine, Noah Henry anajitayarisha kwenda shuleni-lakini, wazazi wake wanamwambia kwamba shule yake imefungwa. Zaidi ya hilo, bustani ya wanyama pia imefungwa na hataweza kucheza na rafiki zake wanaoishi mle. Mambo hayabadiliki hata wakati Noah na kaka yake mdogo wananawisha mikono yao kama walivyoambiwa na walimu wao. Lakini, wakati Noah na familia yake wanapoondoka kwenda matembezini, anagundua ya kwamba rafiki zake walikuwa wamechora pinde za mvua na kuziweka kwenye madirisha yao, na anatambua ya kwamba rafiki zake pia hawana hakika kuhusu siku zijazo, na ya kwamba siku moja yeye na rafiki zake watacheza pamoja tena.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Autorenporträt
Deana Sobel Lederman is an author-illustrator and cartoonist. Her children's series Rainbows, Masks and Ice Cream was published by TBR Books in 2020 and translated to 14 languages. She has worked with the Morgan Library & Museum as an illustrator for marketing and retail, and with many other large institutions.