15,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in 1-2 Wochen
payback
8 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

Kitabu hiki ni matokeo ya somo tulio kuwa tunajifunza katika semina ya neno la Mungu . Roho mtakafu ameweka msukumo ndani yangu nikushirikishe somo hili kwa njia ya kitabu hiki. Ukiwa umesoma mpaka sentensi hii basi umekuwa sehemu ya wale walio teuliwa kuijua siri ya maombi kupitia kitabu hiki, nakushi sana ukisoma kitabu hiki. Ndani ya kitabu hiki utanifunza mambo mengi,ikiwemo kupata majibu ya maswali ambayo waamini wengi hujiuliza kuhusu maombi wamwombayo Mubgu kama: kama:¿¿¿¿¿¿¿¿¿kwa nini tunaomba Mungu ikiwa Mungu anatupenda?. Je Maombi hujibiwa na Mungu?. Nani anapaswa kuwa mwombaji?. 4.…mehr

Produktbeschreibung
Kitabu hiki ni matokeo ya somo tulio kuwa tunajifunza katika semina ya neno la Mungu . Roho mtakafu ameweka msukumo ndani yangu nikushirikishe somo hili kwa njia ya kitabu hiki. Ukiwa umesoma mpaka sentensi hii basi umekuwa sehemu ya wale walio teuliwa kuijua siri ya maombi kupitia kitabu hiki, nakushi sana ukisoma kitabu hiki. Ndani ya kitabu hiki utanifunza mambo mengi,ikiwemo kupata majibu ya maswali ambayo waamini wengi hujiuliza kuhusu maombi wamwombayo Mubgu kama: kama:¿¿¿¿¿¿¿¿¿kwa nini tunaomba Mungu ikiwa Mungu anatupenda?. Je Maombi hujibiwa na Mungu?. Nani anapaswa kuwa mwombaji?. 4. Je naweza kuomba chochote nikapewa?. Haya ni badhi tu ya maswali unayoweza kupata majibu yake ndani ya kitabu hiki. Kuna mengi sana utajifunza kuhusu imani ya kikristo. Karibu tujifunze pamoja kusudi upate kuijua siri ya maombi ukue kiroho.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Autorenporträt
Samuel Aswile Mwakatajila ni mtazania aliyezaliwa katika kijiji cha Lyebe wilaya ya Rungwe mkoa wa mbeya nchini Tanzania. Ni mtumishi wa Mungu mwenye elimu ya theology na pia msomi mwenye shahada ya Telecommunication & Electronics Engineering. Mtumishi Samuel amekuwa akifundisha ujumbe wa neno alilopewa na Mungu maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa Munda mtefu sasa. Pia ni mwandishi wa vitabu na makala za kiimani ( Imani ya kikristo) kwa muda mtefu. Samuel anakualika kupata ujuzi wa kiMungu kupitia kitabu hiki.