Kitabu hiki, Pemba: Muhanga wa Siasa, kinajaribu kwa mara ya kwanza kabisa kuchambuwa tatizo la ubaguzi wa kijamii ambalo huwa halisemwi kwa uwazi ndani ya visiwa vya Zanzibar, na ambalo chimbuko lake ni dhana potofu na matokeo yake ni ubomolewaji wa misingi ya taifa hili la visiwa vya Bahari ya Hindi, mashariki mwa Afrika.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.