Katika kitabu chake cha The Art of War, Sun Tzu anasema kwamba, ukijijua mwenyewe na ukimjua adui yako, utashinda vita vyovyote. Mahubiri yanayohusu,"Roho, Nafsi, na Mwili" yanatupa mwangaza kuhusu sehemu ya ndani zaidi ya 'uenyewe' wetu na yanatufundisha kuhusu chanzo cha wanadamu. Mara tu tunapojifunza na kuelewa ujumbe huu vizuri, tutaweza pia kumwelewa mtu yeyote yule. Pia tutajifunza njia za kutusaidia kushinda nguvu za giza, ambazo zimekuwa zikituathiri, ili tuweze kuishi maisha ya Kikristo yaliyo ya ushindi.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.