19,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in über 4 Wochen
payback
10 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha … Akikusalimu umekwisha … Hana mdhaha … Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja… "Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti," anasema akichekelea. "Sijawahi kushindwa …" Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta kombaro machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.

Andere Kunden interessierten sich auch für
Produktbeschreibung