17,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in 1-2 Wochen
payback
9 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

Taa na kelele za ajabu kutoka sebuleni zinamuamsha mhusika mkuu wa hadithi hii. Kuelewa kile kinachoendelea, anaenda chumbani ambapo mama yake alipo, na anamuona mama yake akishona barakoa za kinga. Mama yake anamwambia kwamba kutoka sasa wafanyakazi muhimu wote na wale wote wanaohitaji kusafiri kwenda kazini watahitaji kuvaa barakoa. Anapo tafakari maneno ya mama yake, anaamua ya kwamba yeye pia atavaa barakoa ya rangi nyingi ilioshonwa na mama yake, na anamwomba mama yake amfundishe jinsi ya kushona. Anataka kumshonea babu yake barakoa, na babu yake, akiwa amejazwa na furaha kwa sababu ya…mehr

Produktbeschreibung
Taa na kelele za ajabu kutoka sebuleni zinamuamsha mhusika mkuu wa hadithi hii. Kuelewa kile kinachoendelea, anaenda chumbani ambapo mama yake alipo, na anamuona mama yake akishona barakoa za kinga. Mama yake anamwambia kwamba kutoka sasa wafanyakazi muhimu wote na wale wote wanaohitaji kusafiri kwenda kazini watahitaji kuvaa barakoa. Anapo tafakari maneno ya mama yake, anaamua ya kwamba yeye pia atavaa barakoa ya rangi nyingi ilioshonwa na mama yake, na anamwomba mama yake amfundishe jinsi ya kushona. Anataka kumshonea babu yake barakoa, na babu yake, akiwa amejazwa na furaha kwa sababu ya kitendo cha fadhili cha mjukuu wake, anamkumbatia alipotoka kazini hospitalini.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Autorenporträt
Deana Sobel Lederman es autora, ilustradora y caricaturista. Su serie de libros infantiles, Arcoíris, máscaras y helados fue publicada por TBR Books en 2020 y traducida a 14 idiomas. Ha trabajado con la Morgan Library & Museum como ilustradora para mercadotecnia y venta al menudeo, y con muchas otras instituciones importantes.