18,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in über 4 Wochen
payback
9 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

1:1 In the beginning God created the heaven and the earth. 1:1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. 1:2 And the earth was without form, and void; and darkness was upon the face of the deep. And the Spirit of God moved upon the face of the waters. 1:2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu; na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi. Na Roho wa Mungu akatulia juu ya uso wa maji. 1:3 And God said, Let there be light: and there was light. 1:3 Mungu akasema, Iwe nuru; 1:4 And God saw the light, that it was good: and God divided the light from the darkness. 1:4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema;…mehr

Produktbeschreibung
1:1 In the beginning God created the heaven and the earth. 1:1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. 1:2 And the earth was without form, and void; and darkness was upon the face of the deep. And the Spirit of God moved upon the face of the waters. 1:2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu; na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi. Na Roho wa Mungu akatulia juu ya uso wa maji. 1:3 And God said, Let there be light: and there was light. 1:3 Mungu akasema, Iwe nuru; 1:4 And God saw the light, that it was good: and God divided the light from the darkness. 1:4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenganisha nuru na giza. 1:5 And God called the light Day, and the darkness he called Night. And the evening and the morning were the first day. 1:5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya kwanza.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.