TOBA
Mai Godfrey
Broschiertes Buch

TOBA

Versandkostenfrei!
Versandfertig in 1-2 Wochen
24,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
12 °P sammeln!
Toba. Inamaana gani kwako? Inakuletea hali ya hofu? Au inakuletea hali ya furaha? Umeshawahi kujikuta kwenye hali ya ukavu wa kiroho ukajisikia kuwa mtupu, haijalishi nini unafanya? Iwe ni kwenda kanisani kwa ujumla, au kusali kwa kujilazimisha, chochote unachokifanya juu ya mambo ya rohoni huvutiwi nayo, hata kuomba kwako ni pasipo kuwa na msukumo wa ndani na kuishia kujisikia vibaya? Kama ndivyo hiki ni kitabu kitakachokufaa. Kitabu cha Toba cha mwandishi Mai Godfrey ni cha kipekee na chenye kukupa mwanga kwa habari ya Toba. Msomaji utakutana na kitabu chenye utaratibu muhimu wa kufanya toba...