36,99 €
inkl. MwSt.
Versandkostenfrei*
Versandfertig in über 4 Wochen
  • Broschiertes Buch

Ilikuwa siku ya Jumamosi. James Omolo alikuwa Malaika Bar ameketi kiti kirefu, karibu na kaunta akinywa bia. Mbele yake, kwenye meza ya kaunta, kulikuwa na chupa iliyopunguzwa nusu na glasi iliyojaa na kuacha nafasi kidogo ya povu la pombe. Hakuwa na haraka ya kunywa. Kilichomvutia zaidi ni kushuhudia matukio ya jioni ile. Ilikuwa bia ya baridi lakini ilikwishaanza kupata joto baada ya kutonywewa kwa muda mrefu.

Produktbeschreibung