Uadilifu unahitajika zaidi wakati huu! Wengine wanaamini kuwa ufisadi ni janga kubwa zaidi kiasi kwamba wanahoji kama utamaduni wa uadilifu unawezekana. Hata hivyo, nina matumaini kwamba "vuguvugu la uadilifu" linawezekana. Vuguvugu hilo litasababisha kuimarika kwa utamaduni wa uadilifu. Kama vile chumvi inavyozuia kitu kuoza, uadilifu huzuia kuenea kwa ufisadi. Ni wakati wa uadilifu kupenya katika ulimwengu wetu.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.