Uhuru kwa Waliofungwa ni kitendea kazi cha kipekee kinacholeta uponyaji na Uhuru. Kinatoa mwongozo wa jinsi ya kutumia nguvu za Mslalaba ili kuingia katika, "uhuru wa utukufu wa Watoto wa Mungu" (Rum. 8:21). Maombi na maamuzi kwenye kurasa hizi yamefanyiwa majaribio katika mabara sita. Maombi haya yamekuwa ya manufaa makubwa kuwaweka watu huru, kuvunja laana za jamii na kuwaweka watu huru wawe wakakamavu na wainjilisti shupavu wa nguvu za wokovu za Kristo.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.