Nicht lieferbar
Ukarimu wa Maria - Walibora, Ken
Schade – dieser Artikel ist leider ausverkauft. Sobald wir wissen, ob und wann der Artikel wieder verfügbar ist, informieren wir Sie an dieser Stelle.
  • Broschiertes Buch

Wakati wa mapumziko uwanjani, Maria anagundua kuwa rafiki yake Musa hana furaha. Musa amehuzunika na analia. Maria anamtuliza Musa na kuhakikisha kuwa ameanza kutabasamu. Je, Musa alikuwa na matatizo yepi? Maria anamsaidiaje? Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi si tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.…mehr

Produktbeschreibung
Wakati wa mapumziko uwanjani, Maria anagundua kuwa rafiki yake Musa hana furaha. Musa amehuzunika na analia. Maria anamtuliza Musa na kuhakikisha kuwa ameanza kutabasamu. Je, Musa alikuwa na matatizo yepi? Maria anamsaidiaje? Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi si tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.