2,99 €
2,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
0 °P sammeln
2,99 €
2,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
0 °P sammeln
Als Download kaufen
2,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
0 °P sammeln
Jetzt verschenken
2,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
0 °P sammeln
  • Format: ePub

Kwa sababu ya woga watu wanapoteza fursa nyingi sana maishani. Wengine wamepoteza nafasi ya kupata mchumba mzuri kwa sababu ya woga, wengine kwa woga siku ya interview wakakosa kazi na bado wengine fursa za biashara zikawapita. Lakini Neno la Mungu liko wazi kwamba huna haja ya kuogopa yeyote wala chochote ila Mungu Mwenyezi. Katika kitabu hiki, Biblia Inasema Usiogope , mistari mbalimbali katika Maandiko Matakatifu inachambuliwa kumpitisha msomaji kuanzia kuona kwamba woga ni dhambi hadi namna za kuishinda hofu na kutembea jasiri kama impasavyo mtu mwenye imani.
Hiki ni kitabu cha
…mehr

  • Geräte: eReader
  • mit Kopierschutz
  • eBook Hilfe
  • Größe: 0.25MB
  • FamilySharing(5)
Produktbeschreibung
Kwa sababu ya woga watu wanapoteza fursa nyingi sana maishani. Wengine wamepoteza nafasi ya kupata mchumba mzuri kwa sababu ya woga, wengine kwa woga siku ya interview wakakosa kazi na bado wengine fursa za biashara zikawapita. Lakini Neno la Mungu liko wazi kwamba huna haja ya kuogopa yeyote wala chochote ila Mungu Mwenyezi. Katika kitabu hiki, Biblia Inasema Usiogope, mistari mbalimbali katika Maandiko Matakatifu inachambuliwa kumpitisha msomaji kuanzia kuona kwamba woga ni dhambi hadi namna za kuishinda hofu na kutembea jasiri kama impasavyo mtu mwenye imani.

Hiki ni kitabu cha mafundisho ya Biblia yanayomfaa kila mtu lakini zaidi yule aliyebanwa na changamoto za kimaisha zinazomfanya ajawe na hofu kwa sababu ya kutoona uchochoro wa kutokea. Soma kitabu hiki na hutabaki mdhaifu tena.


Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.

Autorenporträt
MSAFIRI J. MWAIKUSA is an assistant pastor at a local Assemblies of God church in Dar es Salaam, Tanzania, where he lives with his wife, Tracy, and their children. He also hosts a weekly podcast named Biblia Inasema Usiogope which can be listened to through Radio Public, Google Podcast, Apple Podcast and other platforms. He holds a bachelor degree in Bible and Theology from the Global University of Springfield MO, U.S.A;

Msafiri has an MBA and business experience in food industry and publication. He also has a teaching experience from the University of Dar es Salaam where he obtained his Bachelor of Science in Molecular Biology and Biotechnology.