1,99 €
1,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
1 °P sammeln
1,99 €
1,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
1 °P sammeln
Als Download kaufen
1,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
1 °P sammeln
Jetzt verschenken
1,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
1 °P sammeln
  • Format: ePub

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Vibwengo walilikimbia jeshi la adui, na walilazimishwa kujificha msituni. Deizi akawa rafiki wa Kibwengo mdogo anayeitwa Humulus. Kwa pamoja, wakafanya ugunduzi ambao uliwawezesha Vibwengo kujibu mashambulizi dhidi ya adui. Je, watakuwa na nguvu ya kutosha?Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinne vya &quote;Hatima ya Vibwengo.&quote; Visome vitabu vyote katika mfululizo: Wanajeshi ShupavuMoyo wa JabaliMakaburi YaliyosahaulikaFilimbi ya Kichawi…mehr

  • Geräte: eReader
  • mit Kopierschutz
  • eBook Hilfe
  • Größe: 0.35MB
Produktbeschreibung
Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Vibwengo walilikimbia jeshi la adui, na walilazimishwa kujificha msituni. Deizi akawa rafiki wa Kibwengo mdogo anayeitwa Humulus. Kwa pamoja, wakafanya ugunduzi ambao uliwawezesha Vibwengo kujibu mashambulizi dhidi ya adui. Je, watakuwa na nguvu ya kutosha?Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinne vya "e;Hatima ya Vibwengo."e; Visome vitabu vyote katika mfululizo: Wanajeshi ShupavuMoyo wa JabaliMakaburi YaliyosahaulikaFilimbi ya Kichawi

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, BG, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, HR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.

Autorenporträt
Peter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio. Gotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.