'I am Thankful' shows how easy it is to be grateful for everything in life, even the little things. From waking up in the morning, to enjoying the warm sun, to going back to sleep and hugging your favorite teddy bear. There is always something to be thankful for.
'Ninashukuru' inaonyesha jinsi ilivyo rahisi kushukuru kwa kila jambo maishani, hata mambo madogo. Kuanzia kuamka asubuhi, kufurahia jua kali, kurudi kulala na kumkumbatia dubu umpendaye. Daima kuna kitu cha kushukuru.
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.