Jimmy sungura mdogo hakujua kuendesha baiskeli kubwa kama ya ndugu zake. Kwa kweli mara nyingine yeye hutaniwa. Wakati baba anapomwonyesha jimmy jinsi ya kutoogopa kujaribu jambo jipya hapo ndipo furaha inaanza. Kitabu hiki cha watoto ni sehemu ya mkusanyo wa hadithi fupi za wakati wa kwenda kulala Hadithi hii inaweza kuwa bora kwa kusoma kwa watoto wakati wa kulala na ya kufurahisha familia nzima
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.