2,99 €
2,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
0 °P sammeln
2,99 €
2,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
0 °P sammeln
Als Download kaufen
2,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
0 °P sammeln
Jetzt verschenken
2,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
0 °P sammeln
  • Format: ePub

Baada ya kupigwa kisa kumtukana mzazi wa mwenzake, binti kutoka familia ya kitajiri aliamua kutunga uongo kuharibu maisha ya mwenzake. Hakuishia hapo tu, alipelekea asimamishwe shule, huku wakishirikiana na binamu yake kwenda kumfanyia fujo yeye na mzazi wake. Mwisho wake wanapigwa na kudanganya kwao, mpaka binti yule alitekwa kwa kushirikisha nguvu za wazazi wao. Habari inakuja ni baada ya binti kupatikana, baba yake ambaye alikuwa mmoja wa majasusi wazalendo wa muda mrefu aliyeamua kukaa kimya. Aliamua kulipa kisasi. Ndiyo hapo wazazi wale na watu wengine walipojua mtu huyo hakuna anayeweza…mehr

  • Geräte: eReader
  • mit Kopierschutz
  • eBook Hilfe
  • Größe: 0.47MB
  • FamilySharing(5)
Produktbeschreibung
Baada ya kupigwa kisa kumtukana mzazi wa mwenzake, binti kutoka familia ya kitajiri aliamua kutunga uongo kuharibu maisha ya mwenzake. Hakuishia hapo tu, alipelekea asimamishwe shule, huku wakishirikiana na binamu yake kwenda kumfanyia fujo yeye na mzazi wake. Mwisho wake wanapigwa na kudanganya kwao, mpaka binti yule alitekwa kwa kushirikisha nguvu za wazazi wao. Habari inakuja ni baada ya binti kupatikana, baba yake ambaye alikuwa mmoja wa majasusi wazalendo wa muda mrefu aliyeamua kukaa kimya. Aliamua kulipa kisasi. Ndiyo hapo wazazi wale na watu wengine walipojua mtu huyo hakuna anayeweza kumdhibiti, hata kiongozi wa nchi mwenyewe hana uwezo huo. EASA wenyewe walikaa kando na kumtuma Norbert Kaila akaonane naye mara moja tu azungumze naye kiamani asifikie pabaya. Ila napo jasusi yule alipokutana naye, alimtambua kama ni mwalimu wake aliyemfanya kuwa jasusi bora. Mwenyewe alikiri hakuna mwanausalama yeyote mwenye uwezo wa kumzuia. Aliishia kukaa kando, akitazama mwisho wake utakuwa vipi.


Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.

Autorenporträt
Hassan Mambosasa born in Tanga region in Tanzania. He won Nyabola kiswahili for short stories in 2022. Currently he live in Tanga city.