Ni vipi alionekana mzungu Afrika akaitwa mtalii? Wakati uo huo alionekana mwafrika Uzunguni akaitwa mkimbizi.Mtu aso makao.Tuyaache basi.Mapenzi,je yana mashiko? Hivi mtu anaweza kupenda hadi ya kupenda? Eti apende hadi afilie kipendwacho?Ardhi hii imepkonywa.Kuna wenyenchi na wananchi. Wote hawa wanatafuta maisha.Maisha yanatafutwa vipi?
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.