Ndiyo hapo inabainika kuna mpango hatari sana na kama ungefanikiwa basi dunia nzima ingeingia kwenye migogoro. Hasa mtaifa mengi kuwa na chuki na Marekani na Israel. Yote hayo yalianzia kwenye kutaniko lililosuka mpango mzima. Lililofanyika ukanda wa Gaza nchini Palestina. Wanausalama wakaja kuambulia namba za tiketi za watu ambao walitoka Gaza kwenda nchi nyingine na wangeingia Ramallah kupitia uwanja wa ndege ambao upo karibu na mji huo.
Ikawa ni mwanzo wa kuwafutilia wale wa Kutoka Gaza harakati ambayo ilijawa na upelelezi na michezo mingine ya kuviziana. Mwishowe majasusi walikuja kufanikiwa kazi hiyo.
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.