4,99 €
4,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
0 °P sammeln
4,99 €
4,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
0 °P sammeln
Als Download kaufen
4,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
0 °P sammeln
Jetzt verschenken
4,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
0 °P sammeln
  • Format: ePub

Kitabu cha watoto cha lugha mbili, miaka 4-6 na zaidi, Swahili - Kiingereza, with mp3 audiobook for download&quote;Mabata maji mwitu&quote; na Hans Christian Andersen ni moja ya hadithi za dunia maarufu zaidi kwa sababu nzuri. Katika umbo yake lisilo na wakati linataja masuala yanayopigwa na drama ya binadamu: hofu, ujasiri, upendo, usaliti, kutengana na muungano. Toleo hili ni kitabu cha picha cha upendo kinachoeleza hadithi ya Andersen katika fomu iliyofadhaishwa na ya watoto. Imetafsiriwa katika lugha nyingi na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwezekanazo.…mehr

  • Geräte: eReader
  • ohne Kopierschutz
  • eBook Hilfe
  • Größe: 47.42MB
  • FamilySharing(5)
Produktbeschreibung
Kitabu cha watoto cha lugha mbili, miaka 4-6 na zaidi, Swahili - Kiingereza, with mp3 audiobook for download"e;Mabata maji mwitu"e; na Hans Christian Andersen ni moja ya hadithi za dunia maarufu zaidi kwa sababu nzuri. Katika umbo yake lisilo na wakati linataja masuala yanayopigwa na drama ya binadamu: hofu, ujasiri, upendo, usaliti, kutengana na muungano. Toleo hili ni kitabu cha picha cha upendo kinachoeleza hadithi ya Andersen katika fomu iliyofadhaishwa na ya watoto. Imetafsiriwa katika lugha nyingi na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwezekanazo. Mpya! Sikiliza simulizi zikisomwa na wasemaji wa lugha mama! Katika kitabu utapata kiunganishi bure kwa kitabusauti kwa lugha zote mbili. Bilingual children's book, age 4-6 and up, Swahili - English, with mp3 audiobook for download"e;The Wild Swans"e; by Hans Christian Andersen is, with good reason, one of the world's most popular fairy tales. In its timeless form it addresses the issues out of which human dramas are made: fear, bravery, love, betrayal, separation and reunion. The present edition is a lovingly illustrated picture book recounting Andersen's fairy tale in a sensitive and child-friendly form. It has been translated into a multitude of languages and is available as a bilingual edition in all conceivable combinations of these languages. NEW! Listen to the story read by native speakers! Within the book you'll find a link that gives you free access to audiobooks in both languages. Bilingual children's book, Swahili - English"e;The Wild Swans"e; by Hans Christian Andersen is, with good reason, one of the world's most popular fairy tales. In its timeless form it addresses the issues out of which human dramas are made: fear, bravery, love, betrayal, separation and reunion. The present edition is a lovingly illustrated picture book recounting Andersen's fairy tale in a sensitive and child-friendly form. It has been translated into a multitude of languages and is available as a bilingual edition in all conceivable combinations of these languages.

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, BG, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.

Autorenporträt
Hans Christian Andersen alizaliwa katika mji wa Odense mnamo 1805, na akafa mwaka 1875 huko Copenhagen. Alipata umaarufu wa dunia kwa hadithi zake za fasihi kama vile "Binti Nguva", "Nguo Mpya za Mfalme" na "Bata wenye sura mbaya". Hadithi uliyonayo, "Mabata Maji Mwitu", ilichapishwa kwanza mwaka wa 1838. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya mia moja na ilichukuliwa kwa vyombo vya habari mbalimbali ikiwa ni pamoja na sinema, filamu na muziki. Ulrich Renz alizaliwa huko Stuttgart, Ujerumani, mwaka wa 1960. Baada ya kusoma fasihi za Kifaransa huko Paris alihitimu shule ya matibabu huko Lübeck na alifanya kazi kama mkuu wa kampuni ya kuchapisha kisayansi. Sasa ni mwandishi wa vitabu vya uongo na vitabu vya watoto vya uongo. Marc Robitzky, alizaliwa mwaka wa 1973, alisoma katika Shule ya Ufundi ya Sanaa huko Hamburg na Chuo cha Sanaa ya Maonyesho huko Frankfurt. Anafanya kazi kama mtayarishaji huru na mawasiliano katika Aschaffenburg (Ujerumani).