1,99 €
1,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
1 °P sammeln
1,99 €
1,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
1 °P sammeln
Als Download kaufen
1,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
1 °P sammeln
Jetzt verschenken
1,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
1 °P sammeln
  • Format: ePub

Bertram na marafiki wake watatu; Jack, Kasper na Felix, wamekamilisha masomo yao hivi punde na kutengeneza genge ndogo la muda na kujiita The Hawks. Wao wanamfanyia kazi The Handler, ambaye huwalipa baada ya wao kuvunja maduka na kuuba fanicha bainifu za bei ghali pindi The Handler anapopata agizo kutoka kwa wateja wake. Bertram anaishi yeye na mama yake pekee anayefanya kazi kama mhudumu katika mkahawa. Mamake Bertram anaamini kuwa Bertram anapata pesa zake kutokana na kuwasilisha magazeti. Bertram hawezi kukumbuka mambo mengi kuhusu baba yake. Alikuwa na miaka saba tu wakati baba yake…mehr

  • Geräte: eReader
  • mit Kopierschutz
  • eBook Hilfe
  • Größe: 0.07MB
  • FamilySharing(5)
Produktbeschreibung
Bertram na marafiki wake watatu; Jack, Kasper na Felix, wamekamilisha masomo yao hivi punde na kutengeneza genge ndogo la muda na kujiita The Hawks. Wao wanamfanyia kazi The Handler, ambaye huwalipa baada ya wao kuvunja maduka na kuuba fanicha bainifu za bei ghali pindi The Handler anapopata agizo kutoka kwa wateja wake. Bertram anaishi yeye na mama yake pekee anayefanya kazi kama mhudumu katika mkahawa. Mamake Bertram anaamini kuwa Bertram anapata pesa zake kutokana na kuwasilisha magazeti. Bertram hawezi kukumbuka mambo mengi kuhusu baba yake. Alikuwa na miaka saba tu wakati baba yake alishikwa baada ya kutekeleza mauaji na kuhukumiwa kifungo cha maisha kwenye jela. Siku moja Bertram anaiba jaketi ya bei ghali iliyotengenezwa kwa ngozi kwenye mkahawa ambao mama yake anafanya kazi. Anapata kitu kilichofichwa katika mfuko ulijificha chini ya bitana ya jaketi ile. Hili linaishia kutokea kwa maafa na sio kwa Bertram tu. The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, BG, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, HR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.